full vikanyagio vya kila aina na vya kijanja vinavyokwenda na wakati Ukitaka kutoka kwa pamba za kijanja na smati ile mbaya na uonekane unaekwenda na wakati mbele za watu,basi huna haja ya kuhangaika sana, majibu yote yako pale ndani ya duka la kijanja linalokwenda na wakati kwa mavazi ya kisasa la ZIZZOU FASHIONS & BARBER SHOP. Ukitaka kufanya mawasiliano nao kwa namna moja ama nyingine, usisite angalia dash bod yako hapo juu na utawapata kiurahisi tu. Karibuni sana
Monday, February 23, 2009
Friday, February 20, 2009
Utata mtupu!

Wadau mpooo????Apart from being Pregnant,she finds herself better to perform on stage....as you see,looking pretty with her outfitss.Well umecheki rangi ya kucha zake?thats yellow and more pretty she looks!!!what about the OUTFIT?!hell yeah kapendeza na Ka-belly kake!wadau ongeeni.....but please hii ni fashion ya M.I.A hebu nitumie yako niweke....
Stop copying,Do the right thing!
Attention jamani,,hebu cheki na huyu dada, tunaweza kumuita the biggest glamour killer? Mostly found in the concept of too much. Unashauriwa kuwa simple jamani,kwa mtazamo wa kibongo yuko poa lakini unaambiwa once you are getting into trip never complicate...Too much jewelry. Too much purse. We're not layer cakes. Let accessories adorn you. They're lucky to see the light of day.Unajua nini?tunavyoona maceleb kwenye tv au magazines tunaona they looks fly lakini ukweli ni kwamba saa nyingine wanachemka vibaya....hebu mwangalie Gwen na style yake ambayo siku ya event yeye ndio alimess up vibaya kwenye suala zima la nywele.....
Go with style,go with Fashion....
You see,how this girl looks pretty?!nakupa siri moja ya urembo,hakikisha outfits unazovaa zinaenda na mwili wako na sio unavaa ili uonekane unaenda na fashion,au sio?!

Thursday, February 19, 2009
MWANAMKE KUCHA

kucha ni kitu muhimu sana ambacho usipo kuwa makini katika kuzitunza basi zitakupa madhara makubwa tu sote tunajua umuhimu wa kucha na jinsi zivanyopendeza hasa pale zinapokuwa na matunzo mazuri kwa maana ya usafi na urembo wa rangi .

MER LARAIN Classic saloon iko mbioni kufunguliwa jijini bongo utapata wataalam wa kuzitunza na kuzitengeza kucha zako baada ya malalamiko mengi kuwa watu wengine wanapo weka kucha bandia kucha zao huoza au kuaharibika sasa usijali ufumbuzi wa tatizo lako upo njiani.
Wednesday, February 18, 2009
UREMBO WA SHANGA.




shanga ni kitu kizuri sana maana sie waafrika hutumia kama urembo ingawa matumizi yake ni mengi ndio maana hata leo wenzetu wana boresha na kizifanya ziwe za kisasa zaidi unaweza kuvaa na bado ukonekana mrembo wa kuvutia .
unaweza kuweka oda yako hapa niandikie tu ukitaka kujua mambo haya kisha nitakufahamisha namna ya kupata
Subscribe to:
Posts (Atom)




