Thursday, March 26, 2009

mama obama kwa pamba si mchezoRAIS Barack Obama wa Marekani na mkewe, Michelle.
Kama utaweza fuatilia mavazi ya Michelle, anavaa tofauti sana na wake wa marais wengine.
Ili kuthibitisha hili, ni mke wa Rais yupi anayevaa nguo kama anazofaa First Lady wa Marekani?
Nieleweke kwamba sizungumzii thamani ya nguo za First Lady wa US ila design ya 'pamba' zake, mfano, namna anavyoacha mabega yake wazi.

TANZANIA MITINDO HOUSEhaya ni baubunifu ya mwanamboka
UBUNIFU WA HKADIJA

HADIJA MWANAMBOKA KATIKATI AKIWA NA WAREMBO WA TZ

Khadija akiwa na baadhi ya warembo na wanamitindo wa Tanzania

Friday, March 20, 2009

jamani mitindo na mastaa wa nnje


na bibiye beyonce na jay zbibi alek weke mwanamitindo maarufu tu unaona kivazi chakeangelina joel na kivazi chakeshaun robinson
taraji henson

kivazi cha jlo


hapa ni jl na beyonce kazi kweri kweriiiiiii
wadau mnaopenda mitindo na kuiga kazi kwenu

vivica fox alivyo sasa
namkumbuka sana katika ile two can play thye game dah si mchezo kiboko sana si hiyo tu star huyu kacheza movie kibao.

jiamini mdau
mna la kusema wadau?? kuhusu monique
usiogope macho ya watu toka kivyako.

Thursday, March 19, 2009

Queen Latifah kajaliwa binti


Acha aitwe Qeen bwana

soma namba hiyo binti simple na katoka chicha
UONGO MBAYA KAPENDEZA ANACHONI VUTIA NI KUJIAMINI DADA HUYU KAJALIWA