Thursday, March 26, 2009

mama obama kwa pamba si mchezo



















RAIS Barack Obama wa Marekani na mkewe, Michelle.
Kama utaweza fuatilia mavazi ya Michelle, anavaa tofauti sana na wake wa marais wengine.
Ili kuthibitisha hili, ni mke wa Rais yupi anayevaa nguo kama anazofaa First Lady wa Marekani?
Nieleweke kwamba sizungumzii thamani ya nguo za First Lady wa US ila design ya 'pamba' zake, mfano, namna anavyoacha mabega yake wazi.

TANZANIA MITINDO HOUSE



haya ni baubunifu ya mwanamboka




UBUNIFU WA HKADIJA





HADIJA MWANAMBOKA KATIKATI AKIWA NA WAREMBO WA TZ

Khadija akiwa na baadhi ya warembo na wanamitindo wa Tanzania

Friday, March 20, 2009

jamani mitindo na mastaa wa nnje


na bibiye beyonce na jay z



bibi alek weke mwanamitindo maarufu tu unaona kivazi chake







angelina joel na kivazi chake



shaun robinson








taraji henson

kivazi cha jlo


hapa ni jl na beyonce kazi kweri kweriiiiiii




wadau mnaopenda mitindo na kuiga kazi kwenu

vivica fox alivyo sasa




namkumbuka sana katika ile two can play thye game dah si mchezo kiboko sana si hiyo tu star huyu kacheza movie kibao.

jiamini mdau




mna la kusema wadau?? kuhusu monique




usiogope macho ya watu toka kivyako.

Thursday, March 19, 2009

Queen Latifah kajaliwa binti


Acha aitwe Qeen bwana

soma namba hiyo binti simple na katoka chicha
UONGO MBAYA KAPENDEZA ANACHONI VUTIA NI KUJIAMINI DADA HUYU KAJALIWA

MWENYE JICHO HAAMBIWI TIZAMA


JAMANI WADAU NISEME NINI MIE?

What a Role Model Looks Like

Beyonce is in the April Vogue issue further entrenching herself as an individual who children should aspire to be like. Can you pick out the person who is well on their way to achieving full diva status?

Monday, March 16, 2009

eeh eeeh duh


dj eeh eeh akiendeleza libeneke

Saturday, March 14, 2009

ALLY REHMTULLAH TO SHOWCASE IN KIGALI, RWANDA.

ALLY REHMTULLAH TO SHOWCASE IN KIGALI, RWANDA Designer ALLY REHMTULLAH has been invited to showcase his collection in Kigali, Rwanda on Saturday, 14th March 2009 at the Serena Hotel at 7:00 pm, for the DADMAX TOP MODEL & MUSIC NIGHT event.

During this event ALLY REHMTULLAH will be working with three other designers, namely Imane AYISSI from Cameroon, Ali DIO from Senegal (The 2nd Afric Collection winner Award of 2008), and Dady de Maximo from Rwanda (The 3rd Afric Collection winner Award of 2008). This event has been sponsored by CONTACT FM, SERENA HOTEL, HOTEL DES MILLE COLLINES, KEZA SALOON, GARDEN CENTER of Mme BISSA Josiane UMURUNGI Prix mondial DÉCOR, UNIT CREW, and SICK CITY ENT.
Warm Regards,
Josephine Ng'ang'a
Manager for Ally Rehmtullah Couture
http://www.allyzdesigns.com/

Friday, March 13, 2009

Martin,kijana mdogo vipaji lukuki


Ni kijana wa makamo hivi aliezaliwa miaka 21 iliopita hapa jijini Dar,hakika ni kijana ambae anaonekana kuwa na vipaji vingi (mati talented) ambavyo kwa mujibu wa mazungumzo yake leo mchana na Jiachie ati vyote ana vimudu.
Unajua vipaji gani hivyo.!? binafsi ameniambia kuwa yeye ni Mbunifu wa mavazi,mwanamitindo,muigizaji wa filamu na pia ni grafix dizaina na vyote ana vimudu kwa ufasha kabisa.
Jina lake halisi ni Martin Andrew Kadinda ambaye alianza fani ya uanamitindo mnamo mwaka 2004,aliposhiriki maonesho kadhaa ya mavazi likiwemo la Tanzania Super Model lililofanyika katika ukumbi wa Walter Front zamani Nssf ,Red Carpet,Kimasomaso,Identint pamoja na onesho la 4 u2.
Anasema pamoja na kushiriki uanamitindo, pia haikumchukua muda akajifunza masuala ya ubunifu wa mavazi mbalimbali, ikawa bahati kwake akashiriki pia mashindano kadhaa likiwemo la Swahili Fashions week lililofanyika diamond Jubilee,Red Carpet appearance lililofanyika hoteli ya Regency Park na baadaye onesho la Red in Lady lililofanyika ndani ya hotel ya Kempisk jijini Dar hivi karibuni.
Anasema kutokana na uzoefu alioupata amefanikiwa kubuni/kudizaini mavazi ya aina mbalimbali kwa watu tofauti tofauti akiwemo mtangazaji wa redio ya Clouds Fm Bibie Sofia Kessy,Aliyewahi kuwa miss Tanzania no 3 Pendo Leizer pamoja na mlimbwende mwingine kutoka miss Kinondoni Fay Antony na watu wengine ambao anakiri wazi kuwa wamevutiwa sana na kazi yake ya ubunifu.
Martin anawataja wabunifu wa ndani na nje ambao wamempa hamasa kubwa kiasi hata yeye kujiingiza kwenye fani hizo kuwa ni Farouk kutoka Zanzibar ambaye ni mbunifu wa anaejulikana kimataifa pamoja na Dorcen and Gabana ambao wao huko ughaibuni.
Akibainisha changamoto zilizomo kwenye fani hiyo ya ubunifu wa mavazi, Martin anaweka wazi kuwa Wabunifu wengi wanapenda kutengeneza/buni mavazi ya kike sio kwamba wanapenda,bali inatokana na kuwa asilimia kubwa ya wanaume bado hawajakuwa na mwamko wa kukubali ubunifu wa nyumbani (Tanzania),kwamba wengi wao wanayakacha sana mavazi yanayobuniwa na wabunifu wa Tanzania na badala yake hukimbilia mavazi ya kigeni.
"Halafu suala lingine ni kuhusu Serikali, Serikali yenyewe inatakiwa itutambue Wabunifu wa mavazi na kutupa sapoti kwa namna moja ama nyingine,ili fani hii iheshimike na ikubalike ndani ya nchi ndio ipate kutoka nje, tukifanikiwa kwa hilo naamini nasi tutafika bali, kwani angalau juhudi zitakuwa zimeonekana kutoka serikalini"anasema Martin
Akizungumzia fani yake nyingine ya ugizaji,Martin anasema kuwa mpaka sasa ameigiza filamu inayoitwa Friend of Mine ambayo tayari iko sokoni mpaka sasa,nyinginezo ni Men in Town pamoja na filamu iitwayo Ghost.

SHE IS REALY QUTE



DJ EH EH EHH LOL!!!!

BE SIMPLE AND SMART USIUMIZE KICHWA KUJIJAZA MA VITU KIBAO TAKE A LOOK AT THIS GIRL SHE LOOKS WAOOOO!! I LIKE THE WAY SHE DRESS.

FIRST LADY WETU







KIUKWELI MI BINAFSI NA MPENDA SANA HUMU FIRST LADY WETU THE WAY ANAVYO VAA KIAFRIKA NA KIHESHIMA ANAP
ENDEZA SANA KEEP IT UP MAMY WE LOVE YOU.

Monday, March 9, 2009

SIKU YA WANAWAKE DUNIANI ILIVYO FANA


Akina mama Idaya Salum, Violet Mkwawa na Mariam Abdu wanaofadhiliwa na shirika la Care International wakiuza vikapu maalum vya kuwekea maua vilivyotengenezwa kwa ustadi mkubwa kwa kutumia majani makavu katika maonyesho ya wakina mama wajasiriamali katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani yaliyofanyika viwanja vya mnazi mmoja leo.






Wageni kutoka Norway Anne kushoto na Graziella Van Den Bergh wa chuo kikuu cha Bergen University College wakijinunulia vitu mbalimbali wakati walipotembelea maonyesho ya akina mama yaliyofanyika katika viwanja vya mnazi mmoja leo katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani

FATMA AMOUR

Msanii Angeris na ye akafanya mambo makubwa katika onyesho hilo na wimbo zake My Boo




















BURUDANI HAIKUWA MBALI Hapa Angeris akikamua Vya kutosha mbele ya mashabiki waliohudhuria katika onyesho hilo lililofanyika ufukwe wa Dar Alive jijini karbu na Cine Club.



















USIKU WA KAKA KUONA KILA VAZI LILIVUTIA

Baadhi ya wanamitindo wakiwa katika mavazi yaliyobuniwa na mbunifu Las Mizizi


KILA AINA YA MAVAZI YALIONEKANA NA WABUNIFU MAHIRI TOKA MKOANI KILIMANJARO.
Gabriel Saktamole akiwa na wanamitindo walioonyesha nguozake katika onyesho la Kaka Kuona.

USIKU WA KAKA KUONA NA FATMA AMOUR

FATMA AMOU AKIWA NA MWANAMITINDO MWENZAKE MUSTAFA HASSANALI















HIVI NDIVYO USIKU WA KAKA KUONA
ULIVYOFANA PALE MALAIKA HOUSE, KUTOKA KUSHOTO NI MWANAMITINDO KHADIJA MWANAMBOKA,

Wednesday, March 4, 2009

Monday, February 23, 2009

Is It Worth It?!


Jamani,hutaki kuwa promoted in any means and apart from that umeamua kuvaa kabisa top kwamba 'No Paparazi' halafu unakaa unapigwa picha na haohao paparazi,Is it worth it?!

Look at this young star,Raven Symone kama una kumbuka kwenye 'Hanging With Mr Cooper' leo hii amekuwa mdada na she is tryn to do her thing,Look how she messed Up!

simple and smart


wamependeza wako simple but they real look smart nice dress and la la la lala uh good girls