Monday, February 23, 2009

Is It Worth It?!


Jamani,hutaki kuwa promoted in any means and apart from that umeamua kuvaa kabisa top kwamba 'No Paparazi' halafu unakaa unapigwa picha na haohao paparazi,Is it worth it?!

Look at this young star,Raven Symone kama una kumbuka kwenye 'Hanging With Mr Cooper' leo hii amekuwa mdada na she is tryn to do her thing,Look how she messed Up!

simple and smart


wamependeza wako simple but they real look smart nice dress and la la la lala uh good girls

ZIZZOU FASHIONS & BARBER SHOP




















full vikanyagio vya kila aina na vya kijanja vinavyokwenda na wakati Ukitaka kutoka kwa pamba za kijanja na smati ile mbaya na uonekane unaekwenda na wakati mbele za watu,basi huna haja ya kuhangaika sana, majibu yote yako pale ndani ya duka la kijanja linalokwenda na wakati kwa mavazi ya kisasa la ZIZZOU FASHIONS & BARBER SHOP. Ukitaka kufanya mawasiliano nao kwa namna moja ama nyingine, usisite angalia dash bod yako hapo juu na utawapata kiurahisi tu. Karibuni sana

ZIZZOU BARBER SHOP NDIO PENYEWE KWA STLY NA KILA KITU KUHUSU MASWALA YA UTANASHATI.



Friday, February 20, 2009

Utata mtupu!


Wadau mpooo????Apart from being Pregnant,she finds herself better to perform on stage....as you see,looking pretty with her outfitss.Well umecheki rangi ya kucha zake?thats yellow and more pretty she looks!!!what about the OUTFIT?!hell yeah kapendeza na Ka-belly kake!wadau ongeeni.....but please hii ni fashion ya M.I.A hebu nitumie yako niweke....

Stop copying,Do the right thing!

Attention jamani,,hebu cheki na huyu dada, tunaweza kumuita the biggest glamour killer? Mostly found in the concept of too much. Unashauriwa kuwa simple jamani,kwa mtazamo wa kibongo yuko poa lakini unaambiwa once you are getting into trip never complicate...Too much jewelry. Too much purse. We're not layer cakes. Let accessories adorn you. They're lucky to see the light of day.


Unajua nini?tunavyoona maceleb kwenye tv au magazines tunaona they looks fly lakini ukweli ni kwamba saa nyingine wanachemka vibaya....hebu mwangalie Gwen na style yake ambayo siku ya event yeye ndio alimess up vibaya kwenye suala zima la nywele.....

Go with style,go with Fashion....

You see,how this girl looks pretty?!nakupa siri moja ya urembo,hakikisha outfits unazovaa zinaenda na mwili wako na sio unavaa ili uonekane unaenda na fashion,au sio?!





A real woman has to go on with a style,


ndiomanaa yake.Sio unakuwa mwanamke then unapitwa na fashion ambazo im sure zitakutoa bomba.Here we go with CORSETS......



Kuna corsets za wanaume na wanawake...na zinatoa BOMBA...Be smart,be good...Im telling you ukiwa smart unavutia especially to all my girls out there..

Thursday, February 19, 2009

MWANAMKE KUCHA









kucha ni kitu muhimu sana ambacho usipo kuwa makini katika kuzitunza basi zitakupa madhara makubwa tu sote tunajua umuhimu wa kucha na jinsi zivanyopendeza hasa pale zinapokuwa na matunzo mazuri kwa maana ya usafi na urembo wa rangi .



MER LARAIN Classic saloon iko mbioni kufunguliwa jijini bongo utapata wataalam wa kuzitunza na kuzitengeza kucha zako baada ya malalamiko mengi kuwa watu wengine wanapo weka kucha bandia kucha zao huoza au kuaharibika sasa usijali ufumbuzi wa tatizo lako upo njiani.

Wednesday, February 18, 2009

hapo vipi







kuwa mjanja usikubali kupitwa



UREMBO WA SHANGA.
















shanga ni kitu kizuri sana maana sie waafrika hutumia kama urembo ingawa matumizi yake ni mengi ndio maana hata leo wenzetu wana boresha na kizifanya ziwe za kisasa zaidi unaweza kuvaa na bado ukonekana mrembo wa kuvutia .


unaweza kuweka oda yako hapa niandikie tu ukitaka kujua mambo haya kisha nitakufahamisha namna ya kupata




karibu mdau

upo tayari kubadilika mi navyo jua kila kitu kinawezekana ndo maana nikakuambia nothing but confidence.
karibu sana
mer larein nitakupa mambo mazuri

Thursday, February 12, 2009

karibuni wadau


ni wakati waku badilika sasa blog yako ya urembo wa nama mbali mbali itakupa matukio yote ya urembo mavazi model wetu wanafanya nini kipi kimeingia fashion gani ina tamba na nguo za maharuri lakini pia ushauri wa namna ya kujiweka kimavazi na mambo mbalimbali ya kimaisha katika ulimwengu wa mitindo


mer larain nipo kwa ajili yako karibusana.