Friday, March 13, 2009

SHE IS REALY QUTE



DJ EH EH EHH LOL!!!!

BE SIMPLE AND SMART USIUMIZE KICHWA KUJIJAZA MA VITU KIBAO TAKE A LOOK AT THIS GIRL SHE LOOKS WAOOOO!! I LIKE THE WAY SHE DRESS.

FIRST LADY WETU







KIUKWELI MI BINAFSI NA MPENDA SANA HUMU FIRST LADY WETU THE WAY ANAVYO VAA KIAFRIKA NA KIHESHIMA ANAP
ENDEZA SANA KEEP IT UP MAMY WE LOVE YOU.

Monday, March 9, 2009

SIKU YA WANAWAKE DUNIANI ILIVYO FANA


Akina mama Idaya Salum, Violet Mkwawa na Mariam Abdu wanaofadhiliwa na shirika la Care International wakiuza vikapu maalum vya kuwekea maua vilivyotengenezwa kwa ustadi mkubwa kwa kutumia majani makavu katika maonyesho ya wakina mama wajasiriamali katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani yaliyofanyika viwanja vya mnazi mmoja leo.






Wageni kutoka Norway Anne kushoto na Graziella Van Den Bergh wa chuo kikuu cha Bergen University College wakijinunulia vitu mbalimbali wakati walipotembelea maonyesho ya akina mama yaliyofanyika katika viwanja vya mnazi mmoja leo katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani

FATMA AMOUR

Msanii Angeris na ye akafanya mambo makubwa katika onyesho hilo na wimbo zake My Boo




















BURUDANI HAIKUWA MBALI Hapa Angeris akikamua Vya kutosha mbele ya mashabiki waliohudhuria katika onyesho hilo lililofanyika ufukwe wa Dar Alive jijini karbu na Cine Club.



















USIKU WA KAKA KUONA KILA VAZI LILIVUTIA

Baadhi ya wanamitindo wakiwa katika mavazi yaliyobuniwa na mbunifu Las Mizizi


KILA AINA YA MAVAZI YALIONEKANA NA WABUNIFU MAHIRI TOKA MKOANI KILIMANJARO.
Gabriel Saktamole akiwa na wanamitindo walioonyesha nguozake katika onyesho la Kaka Kuona.

USIKU WA KAKA KUONA NA FATMA AMOUR

FATMA AMOU AKIWA NA MWANAMITINDO MWENZAKE MUSTAFA HASSANALI















HIVI NDIVYO USIKU WA KAKA KUONA
ULIVYOFANA PALE MALAIKA HOUSE, KUTOKA KUSHOTO NI MWANAMITINDO KHADIJA MWANAMBOKA,

Wednesday, March 4, 2009