Monday, March 9, 2009

SIKU YA WANAWAKE DUNIANI ILIVYO FANA


Akina mama Idaya Salum, Violet Mkwawa na Mariam Abdu wanaofadhiliwa na shirika la Care International wakiuza vikapu maalum vya kuwekea maua vilivyotengenezwa kwa ustadi mkubwa kwa kutumia majani makavu katika maonyesho ya wakina mama wajasiriamali katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani yaliyofanyika viwanja vya mnazi mmoja leo.






Wageni kutoka Norway Anne kushoto na Graziella Van Den Bergh wa chuo kikuu cha Bergen University College wakijinunulia vitu mbalimbali wakati walipotembelea maonyesho ya akina mama yaliyofanyika katika viwanja vya mnazi mmoja leo katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani

FATMA AMOUR

Msanii Angeris na ye akafanya mambo makubwa katika onyesho hilo na wimbo zake My Boo




















BURUDANI HAIKUWA MBALI Hapa Angeris akikamua Vya kutosha mbele ya mashabiki waliohudhuria katika onyesho hilo lililofanyika ufukwe wa Dar Alive jijini karbu na Cine Club.



















USIKU WA KAKA KUONA KILA VAZI LILIVUTIA

Baadhi ya wanamitindo wakiwa katika mavazi yaliyobuniwa na mbunifu Las Mizizi


KILA AINA YA MAVAZI YALIONEKANA NA WABUNIFU MAHIRI TOKA MKOANI KILIMANJARO.
Gabriel Saktamole akiwa na wanamitindo walioonyesha nguozake katika onyesho la Kaka Kuona.

USIKU WA KAKA KUONA NA FATMA AMOUR

FATMA AMOU AKIWA NA MWANAMITINDO MWENZAKE MUSTAFA HASSANALI















HIVI NDIVYO USIKU WA KAKA KUONA
ULIVYOFANA PALE MALAIKA HOUSE, KUTOKA KUSHOTO NI MWANAMITINDO KHADIJA MWANAMBOKA,

Wednesday, March 4, 2009

Monday, February 23, 2009

Is It Worth It?!


Jamani,hutaki kuwa promoted in any means and apart from that umeamua kuvaa kabisa top kwamba 'No Paparazi' halafu unakaa unapigwa picha na haohao paparazi,Is it worth it?!

Look at this young star,Raven Symone kama una kumbuka kwenye 'Hanging With Mr Cooper' leo hii amekuwa mdada na she is tryn to do her thing,Look how she messed Up!

simple and smart


wamependeza wako simple but they real look smart nice dress and la la la lala uh good girls